The Bible Software
bible.softwareZaburiZaburi 50 › Zaburi 50:21

Zaburi 50:21

Mambo haya unayafanya, nami nimekaa kimya, 2 ukafikiri Mimi nami ni kama wewe. 1 Lakini nitakukemea 2 na kuweka mashtaka mbele yako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

These things hast thou done, and I kept silence; thou thoughtest that I was altogether such an one as thyself: but I will reprove thee, and set them in order before thine eyes.

In Context

20Wanena daima dhidi ya ndugu yako 2 na kumsingizia mwana wa mama yako. 1

22“Yatafakarini haya, ninyi mnaomsahau Mungu, 2 ama sivyo nitawararua vipande vipande, 2 wala hapatakuwepo na yeyote wa kuwaokoa: 1

Read all of Zaburi 50

Cross References

Exodus 3:14Mungu akamwambia Mose, “ Mimi niko ambaye niko. Hivyo ndivyo utakavyowaambia Waisraeli: ‘ Mimi niko amenituma kwenu.’ ”

Job 34:33Je basi, Mungu atakulipa kwa masharti yako, 2 wakati wewe umekataa kutubu? 1 Yakupasa wewe uamue, wala si mimi; 2 sasa niambie lile ulijualo. 1

Psalms 50:8Sikukemei kwa sababu ya dhabihu zako, 2 au sadaka zako za kuteketezwa, 2 ambazo daima ziko mbele zangu. 1

Psalms 90:8Umeyaweka maovu yetu mbele yako, 2 dhambi zetu za siri katika nuru ya uwepo wako. 1

Psalms 109:1Ee Mungu, ambaye ninakusifu, 2 usiwe kimya, 1

Ecclesiastes 8:11Wakati hukumu juu ya tendo ovu haitekelezwi upesi, mioyo ya watu hujaa mipango ya kutenda maovu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 50:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 50:20Zaburi 50Zaburi 50:22 →