Zaburi 56:13
Kwa kuwa umeniokoa toka kwenye mauti 2 na miguu yangu kwenye kujikwaa, 1 ili niweze kuenenda mbele za Mungu 2 katika nuru ya uzima.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Ee Mungu, nina nadhiri kwako, 2 nitakutolea wewe sadaka zangu za shukrani. 1
Cross References
Leviticus 23:38Sadaka hizi ni nyongeza ya zile mnazozitoa katika Sabato za Bwana, na pia ni nyongeza ya matoleo yenu ya chochote mlichoweka nadhiri, na sadaka zenu zote za hiari mnazozitoa kwa Bwana.)
Job 33:30ili aigeuze nafsi yake toka shimoni, 2 ili nuru ya uzima imwangazie. 1
Psalms 49:15Lakini Mungu atakomboa uhai + 49:15 Au: nafsi. wangu na kaburi, 2 hakika atanichukua kwake. 1
Psalms 94:18Niliposema, “Mguu wangu unateleza,” 2 Ee Bwana, upendo wako ulinishikilia. 1
Psalms 145:14Bwana huwategemeza wote waangukao, 2 na huwainua wote waliolemewa na mizigo yao. 1
Isaiah 38:3“Ee Bwana, kumbuka jinsi nilivyoenenda mbele zako kwa uaminifu na kujitoa kwa moyo wangu wote, na kufanya yaliyo mema machoni pako.” Naye Hezekia akalia kwa uchungu.