Zaburi 66:13
Nitakuja hekaluni mwako na sadaka za kuteketezwa 2 na kukutimizia nadhiri zangu: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I will go into thy house with burnt offerings: I will pay thee my vows,
In Context
14nadhiri ambazo midomo yangu iliahidi 2 na nilizotamka kwa kinywa changu 2 nilipokuwa katika shida. 1
Cross References
Deuteronomy 12:11Kisha kuhusu mahali Bwana Mungu wenu atakapopachagua kuwa mahali pa makao ya Jina lake, hapo ndipo inapowapasa kuleta kila kitu ninachowaamuru: sadaka zenu za kuteketezwa na dhabihu, zaka zenu na changizo, pamoja na vitu vyote vyenye thamani ambavyo mmeweka nadhiri kumtolea Bwana.
Deuteronomy 23:23Chochote kitakachotamkwa kwa midomo yako ni lazima uhakikishe umekifanya, kwa sababu uliweka nadhiri yako kwa hiari mbele za Bwana Mungu wako kwa kinywa chako mwenyewe.
Judges 11:35Alipomwona akararua mavazi yake akalia, “Ee! Binti yangu! Umenifanya niwe na huzuni na kunyongʼonyea sana, kwa kuwa nimeweka nadhiri kwa Bwana, ambayo siwezi kuivunja.”
Psalms 22:25Kwako wewe hutoka kiini cha sifa zangu katika kusanyiko kubwa, 2 nitatimiza nadhiri zangu mbele ya wale wakuchao wewe. 1
Psalms 56:12Ee Mungu, nina nadhiri kwako, 2 nitakutolea wewe sadaka zangu za shukrani. 1
Psalms 100:4Ingieni malangoni mwake kwa shukrani 2 na katika nyua zake kwa kusifu, 2 mshukuruni yeye na kulisifu jina lake. 1