The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 68 › Zaburi 68:2

Zaburi 68:2

Kama vile moshi upeperushwavyo na upepo, 2 vivyo hivyo uwapeperushe mbali, 1 kama vile nta iyeyukavyo kwenye moto, 2 vivyo hivyo waovu na waangamie mbele za Mungu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

As smoke is driven away, so drive them away: as wax melteth before the fire, so let the wicked perish at the presence of God.

In Context

1Mungu na ainuke, watesi wake watawanyike, 2 adui zake na wakimbie mbele zake. 1

3Bali wenye haki na wafurahi, 2 washangilie mbele za Mungu, 2 wafurahi na kushangilia. 1

Read all of Zaburi 68

Cross References

2 Samuel 10:13Basi Yoabu na vikosi vyake wakasonga mbele kupigana na Waaramu, nao Waaramu wakakimbia mbele yake.

Psalms 22:14Nimemiminwa kama maji, 2 mifupa yangu yote imetoka katika viungo vyake. 1 Moyo wangu umegeuka kuwa nta, 2 umeyeyuka ndani yangu. 1

Psalms 76:7Wewe peke yako ndiye wa kuogopwa. 2 Ni nani awezaye kusimama mbele yako unapokasirika? 1

Psalms 97:5Milima huyeyuka kama nta mbele za Bwana, 2 mbele za Bwana wa dunia yote. 1

Isaiah 33:3Kwa ngurumo ya sauti yako, mataifa yanakimbia; 2 unapoinuka, mataifa hutawanyika. 1

Jeremiah 46:15Kwa nini mashujaa wako wamesombwa 2 na kupelekwa mbali? 1 Hawawezi kusimama, kwa maana Bwana 2 atawasukuma awaangushe chini. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 68:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 68:1Zaburi 68Zaburi 68:3 →