The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 69 › Zaburi 69:13

Zaburi 69:13

Lakini Ee Bwana, ninakuomba, 2 kwa wakati ukupendezao; 1 katika upendo wako mkuu, Ee Mungu, 2 unijibu kwa wokovu wako wa hakika. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But as for me, my prayer is unto thee, O LORD, in an acceptable time: O God, in the multitude of thy mercy hear me, in the truth of thy salvation.

In Context

12Wale wanaoketi mlangoni wananisimanga, 2 nimekuwa wimbo wa walevi. 1

14Uniokoe katika matope, 2 usiniache nizame; 1 niokoe na hao wanichukiao, 2 kutoka kwenye vilindi vya maji. 1

Read all of Zaburi 69

Cross References

Genesis 24:27akisema, “Atukuzwe Bwana, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, ambaye hakuondoa wema na uaminifu wake kwa bwana wangu. Mimi nami, Bwana ameniongoza safarini akanifikisha nyumbani kwa jamaa za bwana wangu.”

Esther 5:2Alipomwona Malkia Esta amesimama uani alipendezwa naye, akamnyooshea fimbo ya utawala ya dhahabu ile iliyokuwa mkononi mwake. Kwa hiyo Esta alikaribia na kuigusa ncha ya fimbo ya mfalme.

Esther 7:2Walipokuwa wakinywa mvinyo katika siku ya pili, mfalme akauliza tena, “Malkia Esta, ni nini haja yako? Utapewa. Ombi lako ni nini? Hata nusu ya ufalme, utapewa.”

Psalms 40:10Sikuficha haki yako moyoni mwangu; 2 ninasema juu ya uaminifu wako na wokovu wako. 1 Sikuficha upendo wako na kweli yako 2 mbele ya kusanyiko kubwa. 1

Psalms 55:16Lakini ninamwita Mungu, 2 naye Bwana huniokoa. 1

Psalms 98:3Ameukumbuka upendo wake 2 na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli; 1 miisho yote ya dunia imeuona 2 wokovu wa Mungu wetu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 69:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 69:12Zaburi 69Zaburi 69:14 →