Zaburi 71:13
Washtaki wangu na waangamie kwa aibu, 2 wale wanaotaka kunidhuru 2 na wafunikwe kwa dharau na fedheha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Ee Mungu, usiwe mbali nami, 2 njoo haraka kunisaidia, Ee Mungu wangu. 1
14Lakini mimi, nitatumaini siku zote, 2 nitakusifu zaidi na zaidi. 1
Cross References
Esther 9:2Wayahudi walikusanyika katika miji yao, katika majimbo ya Mfalme Ahasuero kuwashambulia wale waliokuwa wanatafuta kuwaangamiza. Hakuna yeyote aliyeweza kushindana nao, kwa sababu watu wa mataifa mengine yote waliwaogopa.
Psalms 35:4Wafedheheshwe na waaibishwe 2 wale wanaotafuta uhai wangu. 1 Wanaofanya shauri kuniangamiza 2 warudishwe nyuma kwa hofu. 1
Psalms 40:14Wote wanaotafuta kuuondoa uhai wangu, 2 waaibishwe na kufadhaishwa; 1 wote wanaotamani kuangamizwa kwangu, 2 warudishwe nyuma kwa aibu. 1
Psalms 71:24Ulimi wangu utasimulia matendo yako ya haki 2 mchana kutwa, 1 kwa maana wale waliotaka kunidhuru, 2 wameaibishwa na kufadhaishwa.
Psalms 132:18Adui zake nitawavika aibu, 2 bali taji kichwani pake itangʼaa sana.”
Jeremiah 20:11Lakini Bwana yu pamoja nami 2 kama shujaa mwenye nguvu; 1 hivyo washtaki wangu watajikwaa 2 na kamwe hawatashinda. 1 Watashindwa, nao wataaibika kabisa; 2 kukosa adabu kwao hakutasahauliwa. 1