Zaburi 71:2
Kwa haki yako uniponye na kuniokoa, 2 unitegee sikio lako uniokoe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Deliver me in thy righteousness, and cause me to escape: incline thine ear unto me, and save me.
In Context
1Ee Bwana, nimekukimbilia wewe, 2 usiache nikaaibika kamwe. 1
Cross References
Psalms 10:17Unasikia, Ee Bwana, shauku ya wanaoonewa, 2 wewe huwatia moyo, na kusikiliza kilio chao, 1
Psalms 17:6Ee Mungu, ninakuita, kwa kuwa utanijibu, 2 nitegee sikio lako na usikie ombi langu. 1
Psalms 31:2Nitegee sikio lako, 2 uje uniokoe haraka; 1 uwe kwangu mwamba wa kimbilio, 2 ngome imara ya kuniokoa. 1
Psalms 43:1Ee Mungu unihukumu, 2 nitetee dhidi ya taifa lisilomcha Mungu, 2 niokoe na watu wadanganyifu na waovu. 1
Psalms 143:1Ee Bwana, sikia sala yangu, 2 sikiliza kilio changu unihurumie; 1 katika uaminifu na haki yako 2 njoo unisaidie. 1
Daniel 9:16Ee Bwana, wewe kwa kadiri ya matendo yako ya haki, ondoa hasira yako na ghadhabu yako juu ya Yerusalemu, mji wako, mlima wako mtakatifu. Dhambi zetu na maovu ya baba zetu yameifanya Yerusalemu na watu wako kitu cha kudharauliwa kwa wale wote wanaotuzunguka.