Psalms 73:21
Wakati moyo wangu ulipohuzunishwa, 2 na roho yangu ilipotiwa uchungu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thus my heart was grieved, and I was pricked in my reins.
In Context
20Kama ndoto mtu aamkapo, 2 hivyo wakati uinukapo, Ee Bwana, 2 utawatowesha kama ndoto. 1
22nilikuwa mpumbavu na mjinga, 2 nilikuwa mnyama mkatili mbele yako. 1
Cross References
Psalms 37:1Usisumbuke kwa ajili ya watendao maovu, 2 wala usiwaonee wivu watendao mabaya, 1
Psalms 73:3Kwa maana niliwaonea wivu wenye kujivuna 2 nilipoona kufanikiwa kwa waovu. 1