Zaburi 86:2
Linda maisha yangu, kwa maana nimejiweka kwako, 2 wewe ni Mungu wangu, 2 mwokoe mtumishi wako anayekutumaini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Preserve my soul; for I am holy: O thou my God, save thy servant that trusteth in thee.
In Context
1Ee Bwana, sikia na unijibu, 2 kwa maana mimi ni maskini na mhitaji. 1
3Ee Bwana, nihurumie mimi, 2 kwa maana ninakuita mchana kutwa. 1
Cross References
Deuteronomy 7:7Bwana hakuweka upendo wake juu yenu na kuwachagua kwa sababu mlikuwa wengi mno kuliko watu wengine, kwa maana ninyi ndio mliokuwa wachache sana kuliko mataifa yote.
Psalms 4:3Fahamuni hakika kwamba Bwana amewatenga 2 wale wamchao kwa ajili yake; 2 Bwana atanisikia nimwitapo. 1
Psalms 16:1Ee Mungu, uniweke salama, 2 kwa maana kwako nimekimbilia. 1
Psalms 25:2ni wewe ninayekutumainia, 2 Ee Mungu wangu. 1 Usiniache niaibike, 2 wala usiache adui zangu wakanishinda. 1
Psalms 31:14Lakini mimi ninakutumaini wewe peke yako, Ee Bwana; 2 nimesema, “Wewe ndiwe Mungu wangu.” 1
Psalms 50:5“Nikusanyieni watu wangu waliowekwa wakfu, 2 waliofanya agano nami kwa dhabihu.” 1