Zaburi 87:2
Bwana anayapenda malango ya Sayuni 2 kuliko makao yote ya Yakobo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The LORD loveth the gates of Zion more than all the dwellings of Jacob.
In Context
1Ameuweka msingi wake katika mlima mtakatifu; 2
3Mambo matukufu yanasemwa juu yako, 2 ee mji wa Mungu: 1
Cross References
Deuteronomy 12:5Bali mtatafuta mahali Bwana Mungu wenu atakapopachagua katika makabila yenu yote ili aliweke jina lake huko kuwa makao yake. Mahali hapo ndipo iwapasapo kwenda;
Psalms 78:67Ndipo alipozikataa hema za Yosefu, 2 hakulichagua kabila la Efraimu, 1
Psalms 132:13Kwa maana Bwana ameichagua Sayuni, 2 amepaonea shauku pawe maskani yake: 1
Isaiah 14:32Ni jibu gani litakalotolewa 2 kwa wajumbe wa taifa hilo? 1 “ Bwana ameifanya imara Sayuni, 2 nako ndani yake watu wake walioonewa watapata kimbilio.”