The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 9 › Zaburi 9:2

Zaburi 9:2

Nitafurahi na kushangilia ndani yako. 2 Nitaliimbia sifa jina lako, Ewe Uliye Juu Sana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I will be glad and rejoice in thee: I will sing praise to thy name, O thou most High.

In Context

1Ee Bwana, nitakutukuza kwa moyo wangu wote, 2 nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu. 1

3Adui zangu wamerudi nyuma, 2 wamejikwaa na kuangamia mbele zako. 1

Read all of Zaburi 9

Cross References

Psalms 5:11Lakini wote wakimbiliao kwako na wafurahi, 2 waimbe kwa shangwe daima. 1 Ueneze ulinzi wako juu yao, 2 ili wale wapendao jina lako 2 wapate kukushangilia. 1

Psalms 26:7nikitangaza sifa yako kwa sauti kubwa, 2 huku nikisimulia matendo yako ya ajabu. 1

Psalms 28:7Bwana ni nguvu zangu na ngao yangu, 2 moyo wangu umemtumaini yeye, 2 nami nimesaidiwa. 1 Moyo wangu unarukaruka kwa furaha 2 nami nitamshukuru kwa wimbo. 1

Psalms 56:2Wasingiziaji wangu wananifuatia mchana kutwa, 2 wengi wananishambulia kwa kiburi chao. 1

Psalms 86:12Ee Bwana wangu, nitakusifu kwa moyo wote; 2 nitaliadhimisha jina lako milele. 1

Psalms 92:4Ee Bwana, kwa kuwa matendo yako yamenifurahisha, 2 nitaziimba kwa shangwe kazi za mikono yako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 9:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 9:1Zaburi 9Zaburi 9:3 →