Zaburi 91:2
Nitasema kumhusu Bwana, “Yeye ndiye kimbilio langu na ngome yangu, 2 Mungu wangu, ambaye ninamtumaini.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I will say of the LORD, He is my refuge and my fortress: my God; in him will I trust.
In Context
3Hakika yeye ataniokoa na mtego wa mwindaji, 2 na maradhi ya kuambukiza ya kuua. 1
Cross References
Genesis 17:7Nitalithibitisha Agano langu kama Agano la milele kati yangu na wewe na wazao wako baada yako na vizazi vijavyo niwe Mungu wako na Mungu wa wazao wako.
Deuteronomy 32:30Mtu mmoja angewezaje kufukuza elfu moja, 2 au wawili kufukuza elfu kumi, 1 kama si kwamba Mwamba wao amewauza, 2 kama si kwamba Bwana amewaacha? 1
Psalms 14:6Ninyi watenda mabaya mnakwamisha mipango ya maskini, 2 bali Bwana ndiye kimbilio lao. 1
Psalms 18:3Ninamwita Bwana anayestahili kusifiwa, 2 nami ninaokolewa kutoka kwa adui zangu. 1
Psalms 31:15Siku za maisha yangu ziko mikononi mwako, 2 uniokoe mikononi mwa adui zangu 2 na wale wanifuatiao. 1
Psalms 46:1Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, 2 msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. 1