Zaburi 95:2
Tuje mbele zake kwa shukrani, 2 tumtukuze kwa vinanda na nyimbo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let us come before his presence with thanksgiving, and make a joyful noise unto him with psalms.
In Context
1Njooni, tumwimbie Bwana kwa furaha; 2 tumfanyie kelele za shangwe 2 Mwamba wa wokovu wetu. 1
3Kwa kuwa Bwana ni Mungu mkuu, 2 mfalme mkuu juu ya miungu yote. 1
Cross References
Psalms 17:13Inuka, Ee Bwana, pambana nao, uwaangushe, 2 niokoe kutokana na waovu kwa upanga wako. 1
Psalms 98:4Mpigieni Bwana kelele za shangwe, dunia yote, 2 ipaze sauti kwa nyimbo za shangwe na vinanda; 1
Psalms 100:4Ingieni malangoni mwake kwa shukrani 2 na katika nyua zake kwa kusifu, 2 mshukuruni yeye na kulisifu jina lake. 1
Jeremiah 31:12Watakuja na kupiga kelele kwa furaha katika miinuko ya Sayuni; 2 watashangilia ukarimu wa Bwana: 1 nafaka, divai mpya na mafuta, 2 wana-kondoo wachanga 2 na ndama wa makundi ya ngʼombe nitakaowapa. 1 Watakuwa kama bustani iliyonyeshewa vizuri, 2 wala hawatahuzunika tena. 1
Ephesians 5:19Msemezane ninyi kwa ninyi kwa zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, mkimwimbia na kumsifu Bwana mioyoni mwenu,