Ufunuo 1:12
Basi, nikageuka nimwone huyo aliyesema nami, nikaona vinara vya taa saba vya dhahabu,
Biblia Takatifu
In The King James Version
And I turned to see the voice that spake with me. And being turned, I saw seven golden candlesticks;
In Context
Cross References
Revelation 1:20Siri ya nyota zile saba ulizoziona katika mkono wangu wa kulia, na siri ya vile vinara saba vya taa hii: zile nyota saba ni malaika wa makanisa; na vile vinara saba vya taa ni makanisa saba.