Ufunuo 1:14
Nywele zake zilikuwa nyeupe kama pamba safi, kama theluji; macho yake yalimetameta kama moto;
Biblia Takatifu
In The King James Version
His head and his hairs were white like wool, as white as snow; and his eyes were as a flame of fire;
In Context
Cross References
Revelation 2:18“Kwa malaika wa kanisa la Thuatira andika hivi: “Huu ndio ujumbe wa Mwana wa Mungu, ambaye macho yake yametameta kama moto, na miguu yake inang'aa kama shaba iliyosuguliwa.