The Bible Software
bible.software › Ufunuo › Ufunuo 12 › Ufunuo 12:13

Ufunuo 12:13

Lile joka lilipoona kuwa limetupwa chini duniani, lilimfuatilia yule mwanamke aliyekuwa amezaa mtoto mwanaume.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And when the dragon saw that he was cast unto the earth, he persecuted the woman which brought forth the man child.

In Context

12Kwa hiyo, furahini ninyi mbingu 2 na wote wakaao humo! 1 Lakini ole wenu nchi na bahari, 2 kwa maana huyo ibilisi ameshuka kwenu, 1 akiwa amejaa ghadhabu, 2 kwa sababu anajua ya kuwa 2 muda wake ni mfupi!”

14Lakini huyo mwanamke akapewa mabawa mawili ya tai mkubwa, kusudi aweze kuruka mpaka mahali palipotayarishwa kwa ajili yake huko jangwani, ambako atatunzwa kwa wakati na nyakati na nusu, + 12:14 Maana yake ni miaka mitatu na nusu. ya wakati ambako yule joka hawezi kufika.

Read all of Ufunuo 12

Cross References

Genesis 3:15Nami nitaweka uadui 2 kati yako na huyo mwanamke, 2 na kati ya uzao wako na wake, 1 yeye atakuponda kichwa, 2 nawe utamuuma kisigino.”

John 16:33Nimewaambia mambo haya, ili mpate kuwa na amani mkiwa ndani yangu. Ulimwenguni mtapata dhiki. Lakini jipeni moyo, kwa maana mimi nimeushinda ulimwengu.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Ufunuo 12:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ufunuo 12:12Ufunuo 12Ufunuo 12:14 →