The Bible Software
bible.softwareRevelationRevelation 13 › Revelation 13:2

Revelation 13:2

Mnyama yule niliyemwona alifanana na chui, lakini miguu yake ilikuwa kama ya dubu na kichwa chake kama cha simba. Lile joka likampa huyo mnyama nguvu zake, kiti chake cha enzi na mamlaka makubwa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the beast which I saw was like unto a leopard, and his feet were as the feet of a bear, and his mouth as the mouth of a lion: and the dragon gave him his power, and his seat, and great authority.

In Context

1Yule joka akajikita katika mchanga ulioko ufuoni mwa bahari. 1 Mnyama Kutoka Baharini Nami nikamwona mnyama akitoka ndani ya bahari. Mnyama huyo alikuwa na pembe kumi na vichwa saba, akiwa na taji kumi kwenye hizo pembe zake, na juu ya kila kichwa kulikuwa na jina la kukufuru.

3Kimojawapo ya vichwa vya huyo mnyama kilikuwa kama kilichokwisha kupata jeraha la mauti, lakini jeraha hilo la mauti likapona. Ulimwengu wote ukashangaa ukamfuata huyo mnyama.

Read all of Revelation 13

Cross References

1 Samuel 17:34Lakini Daudi akamwambia Sauli, “Mtumishi wako amekuwa akichunga kondoo wa baba yake. Wakati simba au dubu alikuja na kuchukua kondoo kutoka kundi,

Psalms 22:21Niokoe kutoka kinywani mwa simba, 2 niokoe kutoka pembe za mafahali mwitu. 1

Proverbs 28:15Kama simba angurumaye au dubu ashambuliaye, 2 ndivyo alivyo mtu mwovu atawalaye wanyonge. 1

Jeremiah 5:6Kwa hiyo simba kutoka mwituni atawashambulia, 2 mbwa mwitu kutoka jangwani atawaangamiza, 1 chui atawavizia karibu na miji yao, 2 ili kumrarua vipande vipande yeyote atakayethubutu kutoka nje, 1 kwa maana maasi yao ni makubwa, 2 na kukengeuka kwao kumekuwa ni kwingi. 1

Daniel 7:4“Mnyama wa kwanza alifanana na simba, naye alikuwa na mabawa kama ya tai. Nikatazama mpaka mabawa yake yalipongʼolewa, naye akainuliwa katika nchi, akasimama kwa miguu miwili kama mwanadamu, naye akapewa moyo wa binadamu.

Hosea 13:7Kwa hiyo nitakuja juu yao kama simba, 2 kama chui nitawavizia kando ya njia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Revelation 13:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Revelation 13:1Revelation 13Revelation 13:3 →