Ufunuo 14:13
Kisha nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, “Andika: Wamebarikiwa wafu wafao katika Bwana tangu sasa.” “Naam,” asema Roho, “watapumzika kutoka taabu zao, kwa kuwa matendo yao yatawafuata.” 1 Kuvuna Mavuno Ya Dunia
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 19:11Kwa hizo mtumishi wako anaonywa, 2 katika kuzishika kuna thawabu kubwa. 1
Ecclesiastes 4:1Nikatazama tena nikaona uonevu wote uliokuwa unafanyika chini ya jua: 1 Nikaona machozi ya walioonewa, 2 wala hawana wa kuwafariji; 1 uwezo ulikuwa upande wa wale wanaowaonea, 2 wala hawana wa kuwafariji. 1
Isaiah 57:1Mwenye haki hupotea, 2 wala hakuna hata mmoja awazaye hilo moyoni mwake; 1 watu wanaomcha Mungu huondolewa, 2 wala hakuna hata mmoja anayeelewa 1 kuwa wenye haki wameondolewa 2 ili wasipatikane na maovu. 1
Matthew 25:35Kwa maana nilikuwa na njaa mkanipa chakula, nilikuwa na kiu mkaninywesha, nilikuwa mgeni mkanikaribisha,
Luke 16:25“Lakini Abrahamu akamjibu, ‘Mwanangu, kumbuka kwamba wakati wa uhai wako ulipata mambo mazuri, lakini Lazaro alipata mambo mabaya. Lakini sasa anafarijiwa hapa na wewe uko katika maumivu makuu.
1 Corinthians 15:18Hivyo basi, wote waliolala katika Kristo wamepotea.