bible.software › Ufunuo › Ufunuo 15 › Ufunuo 15:5
Ufunuo 15:5
Baada ya hayo nikaona Hekalu limefunguliwa mbinguni, na ndani yake hema ionyeshayo kuwapo kwa Mungu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And after that I looked, and, behold, the temple of the tabernacle of the testimony in heaven was opened:
In Context
4Bwana, ni nani asiyekucha wewe? Nani asiyelitukuza jina lako? Wewe peke yako ni Mtakatifu. Mataifa yote yatakujia na kukuabudu maana matendo yako ya haki yameonekana na wote.”
6Basi, wale malaika saba wenye mabaa saba wakatoka humo Hekaluni, wakiwa wamevaa nguo za kitani safi zenye kung'aa, na kanda za dhahabu vifuani mwao.
Read all of Ufunuo 15
Cross References
Matthew 27:51Hapo pazia la Hekalu likapasuka vipande viwili, toka juu mpaka chini; nchi ikatetemeka; miamba ikapasuka;
This Verse In Other Editions
Study Ufunuo 15:5