bible.software › Ufunuo › Ufunuo 16 › Ufunuo 16:4
Ufunuo 16:4
Malaika wa tatu akamwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, navyo vikageuka damu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And the third angel poured out his vial upon the rivers and fountains of waters; and they became blood.
In Context
3Kisha malaika wa pili akamwaga bakuli lake baharini. Nayo bahari ikawa damu tupu kama damu ya mtu aliyekufa, na viumbe vyote hai baharini vikafa.
5Nikamsikia malaika msimamizi wa maji akisema, “Ewe mtakatifu, Uliyeko na uliyekuwako! Wewe ni mwenye haki katika hukumu hii uliyotoa.
Read all of Ufunuo 16
Cross References
Revelation 14:7Akasema kwa sauti kubwa, “Mcheni Mungu na kumtukuza! Maana saa imefika ya kutoa hukumu yake. Mwabuduni yeye aliyeumba mbingu na nchi, bahari na chemchemi za maji.”
This Verse In Other Editions
Study Ufunuo 16:4