The Bible Software
bible.software › Ufunuo › Ufunuo 18 › Ufunuo 18:2

Ufunuo 18:2

Naye akalia kwa nguvu kwa sauti kubwa, akisema: 1 “Umeanguka! Umeanguka Babeli Mkuu! 2 Umekuwa makao ya mashetani 1 na makazi ya kila pepo mchafu, 2 makazi ya kila ndege na kila mnyama achukizaye. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he cried mightily with a strong voice, saying, Babylon the great is fallen, is fallen, and is become the habitation of devils, and the hold of every foul spirit, and a cage of every unclean and hateful bird.

In Context

1Baada ya haya nikaona malaika mwingine akishuka kutoka mbinguni, akiwa na mamlaka makuu na dunia ikamulikiwa na mngʼao wake.

3Kwa maana mataifa yote yamekunywa 2 mvinyo wa ghadhabu ya uasherati wake. 1 Nao wafalme wa dunia wamefanya uzinzi nao, 2 nao wafanyabiashara wa dunia 2 wametajirika kutokana na wingi wa utajiri wake.”

Read all of Ufunuo 18

Cross References

Leviticus 11:16mbuni, kiruka-njia, dudumizi, kipanga, shakwe, aina zote za kipanga,

Isaiah 14:23“Nitaifanya kuwa mahali pa bundi, 2 na kuwa nchi ya matope; 1 nitaifagia kwa ufagio wa maangamizi,” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 Unabii Dhidi Ya Ashuru

Isaiah 34:11Bundi wa jangwani na bundi mwenye sauti nyembamba wataimiliki, 2 bundi wakubwa na kunguru wataweka viota humo. 1 Mungu atanyoosha juu ya Edomu 2 kamba ya kupimia ya machafuko matupu, 2 na timazi ya ukiwa. 1

Jeremiah 50:39“Kwa hiyo, viumbe vya jangwani na fisi wataishi humo, 2 nao bundi watakaa humo. 1 Kamwe haitakaliwa tena 2 wala watu hawataishi humo kutoka kizazi hadi kizazi. 1

Jeremiah 51:37Babeli utakuwa lundo la magofu 2 na makao ya mbweha, 1 kitu cha kutisha na kudharauliwa, 2 mahali asipoishi mtu. 1

Joel 3:16Bwana atanguruma kutoka Sayuni 2 na mshindo wa ngurumo kutoka Yerusalemu; 2 dunia na mbingu vitatikisika. 1 Lakini Bwana atakuwa kimbilio la watu wake, 2 ngome imara kwa ajili ya watu wa Israeli. 1 Baraka Kwa Watu Wa Mungu 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Ufunuo 18:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ufunuo 18:1Ufunuo 18Ufunuo 18:3 →