Revelation 18:21
Kisha malaika mmoja mwenye nguvu akainua jiwe kubwa kama la kusagia akalitupa baharini akisema: 1 “Hivyo ndivyo mji mkubwa Babeli 2 utakavyotupwa chini kwa nguvu 2 wala hautaonekana tena. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Nehemiah 9:11Ukagawa bahari mbele yao, ili waweze kupita katikati yake penye nchi kavu, lakini uliwatupa Wamisri waliowafuatilia katika vilindi, kama jiwe kwenye maji mengi.
Psalms 37:36lakini alitoweka mara na hakuonekana, 2 ingawa nilimtafuta, hakupatikana. 1
Ezekiel 26:21Nitakufikisha mwisho wa kutisha wala hutakuwepo tena. Watu watakutafuta, lakini kamwe hutaonekana tena, asema Bwana Mwenyezi.”
Revelation 5:2Nami nikamwona malaika mwenye nguvu akitangaza kwa sauti kuu, akisema, “Ni nani anayestahili kuzivunja hizo lakiri na kukifungua kitabu?”
Revelation 12:8Lakini joka na malaika zake wakashindwa, na hapakuwa tena na nafasi yao huko mbinguni.
Revelation 18:10Kwa hofu kubwa ya mateso yake, watasimama mbali na kulia na wakisema: 1 “ ‘Ole! Ole, ee mji mkubwa, 2 ee Babeli mji wenye nguvu! 1 Hukumu yako imekuja katika saa moja!’