Ufunuo 19:2
kwa maana hukumu zake 2 ni za kweli na za haki. 1 Amemhukumu yule kahaba mkuu 2 aliyeuharibu ulimwengu kwa uzinzi wake. 1 Mungu amemlipiza kisasi 2 kwa ajili ya damu ya watumishi wake.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Wakasema tena kwa nguvu: 1 “Haleluya! 1 Moshi wake huyo kahaba unapanda juu 2 milele na milele.”
Cross References
Deuteronomy 32:35Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza. 2 Wakati utakapowadia, mguu wao utateleza; 1 siku yao ya maafa ni karibu, 2 na maangamizo yao yanawajia haraka.” 1
2 Kings 9:7Inakupasa uiangamize nyumba ya bwana wako Ahabu, nami nitalipiza kisasi cha damu ya watumishi wangu manabii na damu ya watumishi wote wa Bwana iliyomwagwa na Yezebeli.
Isaiah 25:1Ee Bwana, wewe ni Mungu wangu, 2 nitakutukuza na kulisifu jina lako, 1 kwa maana katika ukamilifu wa uaminifu 2 umetenda mambo ya ajabu, 2 mambo yaliyokusudiwa tangu zamani. 1
Revelation 15:3Nao wakaimba wimbo wa Mose, mtumishi wa Mungu, na wimbo wa Mwana-Kondoo, wakisema: 1 “ Bwana Mungu Mwenyezi, 2 matendo yako ni makuu na ya ajabu. 1 Njia zako wewe ni za haki na za kweli, 2 Mfalme wa nyakati zote! 1
Revelation 17:1Mmoja wa wale malaika saba waliokuwa na yale mabakuli saba akaja akaniambia, “Njoo, nitakuonyesha adhabu ya yule kahaba mkuu, aketiye juu ya maji mengi.
Revelation 18:3Kwa maana mataifa yote yamekunywa 2 mvinyo wa ghadhabu ya uasherati wake. 1 Nao wafalme wa dunia wamefanya uzinzi nao, 2 nao wafanyabiashara wa dunia 2 wametajirika kutokana na wingi wa utajiri wake.”