bible.software › Ufunuo › Ufunuo 2 › Ufunuo 2:15
Ufunuo 2:15
Vivyo hivyo, wako pia miongoni mwenu watu wanaofuata mafundisho ya Wanikolai.
Biblia Takatifu
In The King James Version
So hast thou also them that hold the doctrine of the Nicolaitanes, which thing I hate.
In Context
14Lakini ninayo machache dhidi yako: baadhi yenu ni wafuasi wa Balaamu aliyemfundisha Balaki kuwatega wana wa Israeli wale vyakula vilivyotambikiwa sanamu za kufanya uzinzi.
16Basi, achana na madhambi yako. La sivyo, nitakuja kwako upesi na kupigana na watu hao kwa upanga utokao kinywani mwangu.
Read all of Ufunuo 2
Cross References
Revelation 2:6Lakini nakusifu juu ya kitu kimoja: wewe unayachukia wanayoyatenda Wanikolai kama ninavyoyachukia mimi.
This Verse In Other Editions
Study Ufunuo 2:15