Ufunuo 2:16
Basi tubu! Ama sivyo, nitakuja kwako upesi na kupigana na watu hao kwa upanga wa kinywa changu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Vivyo hivyo unao wale wayashikayo mafundisho ya Wanikolai.
Cross References
Isaiah 49:2Akafanya kinywa changu kuwa kama upanga ulionolewa, 2 katika uvuli wa mkono wake akanificha; 1 akanifanya kuwa mshale uliosuguliwa, 2 na kunificha katika podo lake. 1
Ephesians 6:17Vaeni chapeo ya wokovu na mchukue upanga wa Roho, ambao ni Neno la Mungu.
Revelation 1:16Katika mkono wake wa kuume alishika nyota saba, na kinywani mwake ulitoka upanga mkali wenye makali kuwili. Uso wake ulikuwa kama jua likingʼaa kwa nguvu zake zote.
Revelation 2:12“Kwa malaika wa Kanisa lililoko Pergamo andika: “Haya ndiyo maneno yake yeye aliye na upanga mkali wenye makali kuwili.
Revelation 3:19“Wale niwapendao, ninawakemea na kuwaadibisha. Hivyo uwe na bidii ukatubu.
Revelation 19:15Kinywani mwake hutoka upanga mkali ambao kwa huo atayaangusha mataifa. “Atayatawala kwa fimbo yake ya utawala ya chuma.” Hulikanyaga shinikizo la mvinyo wa ghadhabu ya Mungu Mwenyezi.