Ufunuo 2:19
Nayajua matendo yako, upendo wako na imani yako, huduma na saburi yako na kwamba matendo yako ya sasa yamezidi yale ya kwanza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 92:14Wakati wa uzee watakuwa bado wanazaa matunda, 2 watakuwa wabichi tena wamejaa nguvu, 1
John 15:2Kila tawi ndani yangu lisilozaa matunda, Baba yangu hulikata, nalo kila tawi lizaalo, hulisafisha ili lipate kuzaa matunda zaidi.
Colossians 3:14Zaidi ya maadili haya yote jivikeni upendo, ambao ndio unaofunga kila kitu pamoja katika umoja mkamilifu.
2 Thessalonians 1:3Ndugu, imetubidi kumshukuru Mungu kwa ajili yenu siku zote, kama ulivyo wajibu wetu, kwa sababu imani yenu inakua zaidi na zaidi na upendo wa kila mmoja wenu alio nao kwa mwenzake unazidi kuongezeka.
1 Peter 4:8Zaidi ya yote, dumuni katika upendo kwa maana upendo husitiri wingi wa dhambi.
2 Peter 3:18Bali kueni katika neema na katika kumjua Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Utukufu una yeye sasa na milele! Amen.