Ufunuo 2:28
Nami nitampa pia ile nyota ya asubuhi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And I will give him the morning star.
In Context
29Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa.
Cross References
Luke 1:78kwa ajili ya wingi wa rehema za Mungu wetu, 2 nuru itokayo juu itatuzukia 1
Revelation 22:16“Mimi, Yesu, nimemtuma malaika wangu kushuhudia mambo haya kwa ajili ya makanisa. Mimi ndimi Shina na Mzao wa Daudi, ile Nyota ya Asubuhi ingʼaayo.”