Ufunuo 2:3
Umevumilia na kustahimili taabu kwa ajili ya Jina langu, wala hukuchoka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And hast borne, and hast patience, and for my name’s sake hast laboured, and hast not fainted.
In Context
4“Lakini nina neno dhidi yako: Umeuacha upendo wako wa kwanza.
Cross References
Psalms 37:7Tulia mbele za Bwana 2 na umngojee kwa uvumilivu; 1 usisumbuke watu wanapofanikiwa katika njia zao, 2 wanapotekeleza mipango yao miovu. 1
Micah 7:9Kwa sababu nimetenda dhambi dhidi yake, 2 nitabeba ghadhabu ya Bwana, 1 mpaka atakaponitetea shauri langu 2 na kuithibitisha haki yangu. 1 Atanileta nje kwenye mwanga, 2 nami nitaiona haki yake. 1
Luke 8:15Lakini zile mbegu zilizoanguka kwenye udongo mzuri ni mfano wa wale ambao hulisikia neno la Mungu na kulishika kwa moyo mnyofu wa utiifu, nao kwa kuvumilia kwingi huzaa matunda. 1 Mfano Wa Taa (Marko 4:21-25)
Luke 18:1Kisha Yesu akawapa wanafunzi wake mfano ili kuwaonyesha kuwa yawapasa kuomba pasipo kukata tamaa.
John 15:21Watawatendea ninyi haya yote kwa ajili ya Jina langu, kwa sababu hawamjui yeye aliyenituma.
Romans 5:3Si hivyo tu, bali twafurahi pia katika mateso, kwa sababu tunajua kuwa mateso huleta saburi,