The Bible Software
bible.software › Ufunuo › Ufunuo 2 › Ufunuo 2:4

Ufunuo 2:4

“Lakini nina neno dhidi yako: Umeuacha upendo wako wa kwanza.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Nevertheless I have somewhat against thee, because thou hast left thy first love.

In Context

3Umevumilia na kustahimili taabu kwa ajili ya Jina langu, wala hukuchoka.

5Kumbuka basi ni wapi ulikoangukia! Tubu na ukafanye matendo yale ya kwanza. Kama usipotubu, nitakuja kwako na kukiondoa kinara chako cha taa kutoka mahali pake.

Read all of Ufunuo 2

Cross References

Jeremiah 2:2“Nenda ukahubiri masikioni mwa watu wa Yerusalemu: 1 “ ‘Nakumbuka moyo wako wa uchaji katika ujana wako, 2 jinsi ulivyonipenda kama bibi arusi 1 na kunifuata katika jangwa lile lote, 2 katika nchi isiyopandwa mbegu. 1

Matthew 25:7“Ndipo wale wanawali wote wakaamka na kuzitengeneza taa zao.

Philippians 3:13Ndugu zangu, sijihesabu kuwa nimekwisha kushika. Lakini ninafanya jambo moja: Ninasahau mambo yale yaliyopita, nakaza mwendo kufikia yale yaliyo mbele.

2 Thessalonians 1:3Ndugu, imetubidi kumshukuru Mungu kwa ajili yenu siku zote, kama ulivyo wajibu wetu, kwa sababu imani yenu inakua zaidi na zaidi na upendo wa kila mmoja wenu alio nao kwa mwenzake unazidi kuongezeka.

Revelation 2:14“Hata hivyo, nina mambo machache dhidi yako: Unao watu wafuatao mafundisho ya Balaamu, yule aliyemfundisha Balaki kuwashawishi Waisraeli watende dhambi kwa kula vitu vilivyotolewa kafara kwa sanamu na kufanya uasherati.

Revelation 3:14“Kwa malaika wa kanisa lililoko Laodikia andika: “Haya ndiyo maneno yake yeye aliye Amen, shahidi mwaminifu na wa kweli, mtawala wa uumbaji wote wa Mungu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Ufunuo 2:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ufunuo 2:3Ufunuo 2Ufunuo 2:5 →