The Bible Software
bible.software › Ufunuo › Ufunuo 2 › Ufunuo 2:6

Ufunuo 2:6

Lakini una jambo hili kwa upande wako: Unayachukia matendo ya Wanikolai, ambayo nami pia nayachukia.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But this thou hast, that thou hatest the deeds of the Nicolaitanes, which I also hate.

In Context

5Kumbuka basi ni wapi ulikoangukia! Tubu na ukafanye matendo yale ya kwanza. Kama usipotubu, nitakuja kwako na kukiondoa kinara chako cha taa kutoka mahali pake.

7“Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa haki ya kula matunda toka kwa mti wa uzima, ambao uko katika paradiso + 2:7 Paradiso hapa ina maana ya Bustani, yaani shamba dogo la miti izaayo matunda. ya Mungu. 1 Kwa Kanisa Lililoko Smirna

Read all of Ufunuo 2

Cross References

Psalms 26:5ninachukia kusanyiko la watenda mabaya 2 na ninakataa kuketi pamoja na waovu. 1

Psalms 139:21Ee Bwana, je, nisiwachukie wanaokuchukia? 2 Nisiwachukie sana wanaoinuka dhidi yako? 1

Revelation 2:14“Hata hivyo, nina mambo machache dhidi yako: Unao watu wafuatao mafundisho ya Balaamu, yule aliyemfundisha Balaki kuwashawishi Waisraeli watende dhambi kwa kula vitu vilivyotolewa kafara kwa sanamu na kufanya uasherati.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Ufunuo 2:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ufunuo 2:5Ufunuo 2Ufunuo 2:7 →