bible.software › Ufunuo › Ufunuo 2 › Ufunuo 2:8
Ufunuo 2:8
“Kwa malaika wa kanisa lililoko Smirna andika: “Haya ndiyo maneno yake yeye aliye wa Kwanza na wa Mwisho, aliyekufa kisha akafufuka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And unto the angel of the church in Smyrna write; These things saith the first and the last, which was dead, and is alive;
In Context
7“Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa haki ya kula matunda toka kwa mti wa uzima, ambao uko katika paradiso + 2:7 Paradiso hapa ina maana ya Bustani, yaani shamba dogo la miti izaayo matunda. ya Mungu. 1 Kwa Kanisa Lililoko Smirna
9Naijua dhiki yako na umaskini wako, lakini wewe ni tajiri! Nayajua masingizio ya wale wasemao kuwa ni Wayahudi lakini sio, bali wao ni sinagogi la Shetani.
Read all of Ufunuo 2
Cross References
Revelation 1:8“Mimi ni Alfa na Omega,” asema Bwana Mungu, “aliyeko, aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.” 1 Maono Ya Kristo
Revelation 1:17Nilipomwona, nilianguka miguuni pake kama aliyekufa. Ndipo akauweka mkono wake wa kuume juu yangu na kusema: “Usiogope, Mimi ndiye wa Kwanza na wa Mwisho.
This Verse In Other Editions
Study Ufunuo 2:8