Revelation 22:21
Neema ya Bwana Yesu iwe na watakatifu wote. Amen.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The grace of our Lord Jesus Christ be with you all. Amen.
In Context
20Yeye anayeshuhudia mambo haya asema, “Hakika, naja upesi!” Amen. Njoo, Bwana Yesu.
Cross References
Romans 16:20Mungu wa amani atamponda Shetani chini ya miguu yenu upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu iwe nanyi. Amen.
2 Corinthians 13:14Neema ya Bwana Yesu Kristo, na upendo wa Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote. Amen.
2 Thessalonians 3:18Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi nyote. Amen.