The Bible Software
bible.softwareUfunuoUfunuo 3 › Ufunuo 3:13

Ufunuo 3:13

Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa. 1 Kwa Kanisa Lililoko Laodikia

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He that hath an ear, let him hear what the Spirit saith unto the churches.

In Context

12Yeye ashindaye nitamfanya kuwa nguzo katika hekalu la Mungu wangu, wala hatatoka humo kamwe. Nitaandika juu yake Jina la Mungu wangu na jina la mji mkubwa wa Mungu wangu, Yerusalemu mpya, ambao unashuka kutoka mbinguni kwa Mungu wangu. Nami pia nitaandika juu yake Jina langu jipya.

14“Kwa malaika wa kanisa lililoko Laodikia andika: “Haya ndiyo maneno yake yeye aliye Amen, shahidi mwaminifu na wa kweli, mtawala wa uumbaji wote wa Mungu.

Read all of Ufunuo 3

Cross References

Mark 7:16Kama mtu yeyote ana masikio ya kusikia na asikie.]”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Ufunuo 3:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ufunuo 3:12Ufunuo 3Ufunuo 3:14 →