Ufunuo 3:15
Nayajua mambo yako yote! Najua kwamba wewe si baridi wala si moto. Afadhali ungekuwa kimojawapo: baridi au moto.
Biblia Takatifu
In The King James Version
I know thy works, that thou art neither cold nor hot: I would thou wert cold or hot.
In Context
16Basi, kwa kuwa hali yako ni vuguvugu, si baridi wala si moto, nitakutapika!
Cross References
Matthew 10:37“Ampendaye baba au mama yake kuliko anipendavyo mimi, hanistahili. Ampendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili.
Luke 14:27Mtu asipochukua msalaba wake na kunifuata hawezi kuwa mwanafunzi wangu.