Ufunuo 3:16
Basi, kwa kuwa hali yako ni vuguvugu, si baridi wala si moto, nitakutapika!
Biblia Takatifu
In The King James Version
So then because thou art lukewarm, and neither cold nor hot, I will spue thee out of my mouth.
In Context
Cross References
Revelation 2:5Basi, pakumbuke pale ulipokuwa kabla ya kuanguka, ukayaache madhambi yako, na kufanya kama ulivyofanya pale awali. La sivyo, naja kwako na kukiondoa kinara chako mahali pake.