bible.software › Ufunuo › Ufunuo 3 › Ufunuo 3:17
Ufunuo 3:17
Wewe unajisema, Mimi ni tajiri; ninajitosheleza, sina haja ya kitu chochote. Kumbe, hujui kwamba wewe ni mnyonge, unahitaji kuhurumiwa, maskini, kipofu tena uko uchi!
Biblia Takatifu
In The King James Version
Because thou sayest, I am rich, and increased with goods, and have need of nothing; and knowest not that thou art wretched, and miserable, and poor, and blind, and naked:
In Context
16Basi, kwa kuwa hali yako ni vuguvugu, si baridi wala si moto, nitakutapika!
18Nakushauri ununue kwangu dhahabu iliyosafishwa kwa moto upate kuwa tajiri kweli. Tena afadhali ununue pia vazi jeupe, uvae na kufunika aibu ya uchi wako. Nunua pia mafuta ukapake machoni pako upate kuona.
Read all of Ufunuo 3
Cross References
Matthew 9:12Yesu aliwasikia, akasema, “Watu wenye afya hawahitaji daktari; wanaomhitaji ni wale walio wagonjwa. Sikuja kuwaita watu wema, ila wenye dhambi.
This Verse In Other Editions
Study Ufunuo 3:17