Ufunuo 3:22
“Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
He that hath an ear, let him hear what the Spirit saith unto the churches.
In Context
Cross References
Revelation 2:7“Aliye na masikio, basi, na asikie yale Roho anayoyaambia makanisa! “Wale wanaoshinda nitawapa haki ya kula matunda ya mti wa uzima ulioko ndani ya bustani ya Mungu.
Revelation 2:17“Aliye na masikio, basi, na asikie yale Roho anayoyaambia makanisa! “Wale wanaoshinda nitawapa ile mana iliyofichika. Nitawapa pia jiwe jeupe lililoandikwa jina jipya ambalo hakuna mtu aliyelijua isipokuwa tu wale wanaolipokea.
Revelation 3:13“Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa!