bible.software › Ufunuo › Ufunuo 3 › Ufunuo 3:6
Ufunuo 3:6
“Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa!
Biblia Takatifu
In The King James Version
He that hath an ear, let him hear what the Spirit saith unto the churches.
In Context
5“Wale wanaoshinda, watavikwa mavazi meupe kama hao. Nami sitayafuta majina yao kutoka katika kitabu cha uzima; tena nitawakiri kwamba ni wangu mbele ya Baba yangu na mbele ya malaika wake.
7“Kwa malaika wa kanisa la Filadelfia andika hivi: “Huu ndio ujumbe kutoka kwake yeye aliye mtakatifu na wa kweli, ambaye anao ule ufunguo wa Daudi, na ambaye hufungua na hakuna mtu awezaye kufungua.
Read all of Ufunuo 3
Cross References
Revelation 2:7“Aliye na masikio, basi, na asikie yale Roho anayoyaambia makanisa! “Wale wanaoshinda nitawapa haki ya kula matunda ya mti wa uzima ulioko ndani ya bustani ya Mungu.
This Verse In Other Editions
Study Ufunuo 3:6