The Bible Software
bible.software › Ufunuo › Ufunuo 3 › Ufunuo 3:7

Ufunuo 3:7

“Kwa malaika wa kanisa lililoko Filadelfia andika: “Haya ndiyo maneno yake yeye aliye mtakatifu na wa kweli, yeye aliye na ufunguo wa Daudi. Anachokifungua hakuna awezaye kukifunga, wala anachokifunga hakuna awezaye kukifungua.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And to the angel of the church in Philadelphia write; These things saith he that is holy, he that is true, he that hath the key of David, he that openeth, and no man shutteth; and shutteth, and no man openeth;

In Context

6Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa. 1 Kwa Kanisa Lililoko Filadelfia

8Nayajua matendo yako. Tazama, nimeweka mbele yako mlango uliofunguliwa, wala hakuna awezaye kuufunga. Ninajua kwamba una nguvu kidogo lakini umelishika neno langu wala hukulikana Jina langu.

Read all of Ufunuo 3

Cross References

Job 12:14Kile anachokibomoa hakiwezi kujengeka tena; 2 mtu aliyefungiwa naye hawezi kufunguliwa. 1

Psalms 89:18Naam, ngao yetu ni mali ya Bwana, 2 na mfalme wetu mali ya Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

Isaiah 6:3Nao walikuwa wakiitana kila mmoja na mwenzake: 1 “Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu 2 ni Bwana Mwenye Nguvu Zote; 2 dunia yote imejaa utukufu wake.”

Isaiah 30:11Acheni njia hii, 2 ondokeni katika mapito haya, 1 nanyi acheni kutukabili pamoja 2 na yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli!”

Isaiah 41:16Utaipepeta, nao upepo utaichukua, 2 dhoruba itaipeperushia mbali. 1 Bali wewe utajifurahisha katika Bwana 2 na katika utukufu wa yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

Isaiah 47:4Mkombozi wetu: Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake; 2 ndiye yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Ufunuo 3:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ufunuo 3:6Ufunuo 3Ufunuo 3:8 →