Ufunuo 4:3
Aliyekuwa amekikalia alikuwa anaonekana kama yaspi na akiki. Kukizunguka kile kiti cha enzi palikuwa na upinde wa mvua ulioonekana kama zumaridi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 24:10nao wakamwona Mungu wa Israeli. Chini ya miguu yake kulikuwa na kitu kama sakafu ya mawe ya yakuti samawi, iliyo safi kama anga angavu.
Exodus 39:11safu ya pili ilikuwa na almasi, yakuti samawi na zumaridi;
Ezekiel 1:26Juu ya ile nafasi ya wazi iliyokuwa juu ya vichwa vyao kulikuwa na kitu mfano wa kiti cha enzi cha yakuti samawi. Na juu ya kile kiti cha enzi kulikuwa na umbo mfano wa mwanadamu.
Ezekiel 28:13Ulikuwa ndani ya Edeni, 2 bustani ya Mungu; 1 kila kito cha thamani kilikupamba: 2 akiki nyekundu, yakuti manjano na zumaridi, 2 krisolitho, shohamu na yaspi, 2 yakuti samawi, almasi na zabarajadi. 1 Kuwekwa kwa hayo mapambo na kushikizwa kwake 2 kulifanywa kwa dhahabu; 2 siku ile ulipoumbwa yaliandaliwa tayari. 1
Revelation 21:11Ulikuwa ukingʼaa kwa utukufu wa Mungu kama kito chenye thamani sana, kama yaspi, safi kama kioo.