Ufunuo 5:3
Lakini hakupatikana mtu yeyote mbinguni, wala duniani, wala chini Kuzimu, aliyeweza kukifungua hicho kitabu au kukitazama ndani.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
4Basi, mimi nikalia sana kwa sababu hakupatikana mtu aliyestahili kukifungua, au kukitazama ndani.
Cross References
Romans 11:34“Nani aliyepata kuyajua mawazo ya Bwana? Nani awezaye kuwa mshauri wake?