bible.software › Ufunuo › Ufunuo 5 › Ufunuo 5:4
Ufunuo 5:4
Basi, mimi nikalia sana kwa sababu hakupatikana mtu aliyestahili kukifungua, au kukitazama ndani.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And I wept much, because no man was found worthy to open and to read the book, neither to look thereon.
In Context
3Lakini hakupatikana mtu yeyote mbinguni, wala duniani, wala chini Kuzimu, aliyeweza kukifungua hicho kitabu au kukitazama ndani.
5Kisha mmoja wa wale wazee akaniambia, “Usilie! Tazama! Simba wa kabila la Yuda, mjukuu maarufu wa Daudi, ameshinda. Yeye anaweza kuivunja mihuri yake saba na kukifungua hicho kitabu.”
Read all of Ufunuo 5
This Verse In Other Editions
Study Ufunuo 5:4