Ufunuo 6:17
Maana siku maalum ya ghadhabu yao imefika. Nani awezaye kuikabili?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
For the great day of his wrath is come; and who shall be able to stand?
In Context
Cross References
Luke 21:36Muwe waangalifu basi, na salini daima ili muweze kupata nguvu ya kupita salama katika mambo haya yote yatakayotokea, na kusimama mbele ya Mwana wa Mtu.”
Jude 1:6Na, malaika ambao hawakuridhika na cheo chao, wakayaacha makao yao ya asili, Mungu amewafunga gizani kwa minyororo ya milele wahukumiwe Siku ile kuu.