Ufunuo 6:2
Nikatazama, na hapo mbele yangu alikuwepo farasi mweupe! Yeye aliyempanda alikuwa na upinde, naye akapewa taji, akampanda akatoka akiwa kama mshindi aelekeaye katika kushinda.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Alipoivunja ile lakiri ya pili, nikamsikia yule kiumbe wa pili mwenye uhai akisema, “Njoo!”
Cross References
Psalms 76:7Wewe peke yako ndiye wa kuogopwa. 2 Ni nani awezaye kusimama mbele yako unapokasirika? 1
Psalms 110:2Bwana ataeneza fimbo yako ya utawala yenye nguvu kutoka Sayuni; 2 utatawala katikati ya adui zako. 1
Zechariah 1:8Wakati wa usiku nilipata maono, mbele yangu alikuwepo mtu akiendesha farasi mwekundu! Alikuwa amesimama katikati ya miti ya mihadasi kwenye bonde. Nyuma yake walikuwepo farasi wekundu, wa kikahawia na weupe.
Zechariah 6:11Chukua fedha na dhahabu utengeneze taji, nawe uiweke kichwani mwa kuhani mkuu Yoshua, mwana wa Yehosadaki.
Romans 15:18Kwa maana sitathubutu kusema kitu chochote zaidi ya kile ambacho Kristo amefanya kwa kunitumia mimi katika kuwaongoza watu wa Mataifa wamtii Mungu kwa yale niliyosema na kufanya,
1 Corinthians 15:55“Kuko wapi, ee mauti, kushinda kwako? 2 Uko wapi, ee mauti, uchungu wako?”