bible.software › Ufunuo › Ufunuo 6 › Ufunuo 6:4
Ufunuo 6:4
Nami nikatazama na kumbe palikuwapo farasi mwingine hapo, mwekundu. Mpanda farasi wake alikabidhiwa jukumu la kuondoa amani duniani, watu wauane, akapewa upanga mkubwa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And there went out another horse that was red: and power was given to him that sat thereon to take peace from the earth, and that they should kill one another: and there was given unto him a great sword.
In Context
3Kisha, Mwanakondoo akavunja mhuri wa pili. Nikamsikia yule kiumbe hai wa pili akisema, “Njoo!”
5Kisha Mwanakondoo akavunja mhuri wa tatu. Nikamsikia yule kiumbe hai wa tatu akisema, “Njoo!” Nikatazama na kumbe palikuwapo farasi mmoja hapo, mweusi. Mpanda farasi wake alikuwa na vipimo viwili vya kupimia uzito mkononi mwake.
Read all of Ufunuo 6
Cross References
Matthew 10:34“Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga.
This Verse In Other Editions
Study Ufunuo 6:4