bible.software › Ufunuo › Ufunuo 7 › Ufunuo 7:16
Ufunuo 7:16
Hawataona tena njaa wala kiu; jua wala joto kali halitawachoma tena,
Biblia Takatifu
In The King James Version
They shall hunger no more, neither thirst any more; neither shall the sun light on them, nor any heat.
In Context
15Ndiyo maana wako mbele ya kiti cha enzi cha Mungu. Humtumikia Mungu mchana na usiku katika Hekalu lake; naye aketiye juu ya kiti cha enzi atatandaza hema lake juu yao kuwalinda.
17kwa sababu Mwanakondoo aliye katikati ya kiti cha enzi atakuwa mchungaji wao, naye atawaongoza kwenye chemchemi za maji ya uzima. Naye Mungu atayafuta machozi yote machoni mwao.”
Read all of Ufunuo 7
This Verse In Other Editions
Study Ufunuo 7:16