bible.software › Ufunuo › Ufunuo 9 › Ufunuo 9:10
Ufunuo 9:10
Walikuwa na mikia na miiba kama ng'e, na kwa mikia hiyo, walikuwa na nguvu ya kuwadhuru watu kwa muda wa miezi mitano.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And they had tails like unto scorpions, and there were stings in their tails: and their power was to hurt men five months.
In Context
9Vifua vyao vilikuwa vimefunikwa kitu kama ngao ya chuma. Sauti ya mabawa yao ilikuwa kama sauti ya msafara wa magari ya farasi wengi wanaokimbilia vitani.
11Tena wanaye mfalme anayewatawala, naye ndiye malaika wa kuzimu; jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kigiriki ni Apolioni, yaani mwangamizi.
Read all of Ufunuo 9
Cross References
Luke 11:12Na kama akimwomba yai, je, atampa ng'e?
Revelation 9:5Nzige hao hawakuruhusiwa kuwaua watu, ila kuwatesa tu kwa muda wa miezi mitano. Maumivu watakayosababisha ni kama maumivu yanayompata mtu wakati anapoumwa na ng'e.
This Verse In Other Editions
Study Ufunuo 9:10