Ufunuo 9:13
Malaika wa sita akaipiga tarumbeta yake, nami nikasikia sauti ikitoka katika zile pembe za madhabahu ya dhahabu iliyoko mbele za Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Ole ya kwanza imepita, bado nyingine mbili zinakuja. 1 Tarumbeta Ya Sita
Cross References
Exodus 30:2Madhabahu hayo yawe mraba, urefu na upana wake dhiraa moja, + 30:2 Dhiraa moja ni sawa na sentimita 45. na kimo cha dhiraa mbili, + 30:2 Dhiraa mbili ni sawa na sentimita 90. nazo pembe zake zitakuwa kitu kimoja nayo.
Hebrews 10:21basi kwa kuwa tunaye Kuhani Mkuu juu ya nyumba ya Mungu,
Revelation 9:1Malaika wa tano akaipiga tarumbeta yake, nami nikaona nyota iliyokuwa imeanguka toka angani hadi ardhini. Nyota hiyo ilipewa ufunguo wa lile Shimo. + 9:1 Yaani Abyss kwa Kiyunani; maana yake ni Kuzimu, yaani makao ya pepo wachafu.