Ufunuo 9:15
Naye akawafungulia malaika hao wanne ambao walikuwa wametayarishwa kwa ajili ya saa hiyo ya siku ya mwezi huo, wa mwaka huohuo, kuua theluthi moja ya wanaadamu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
16Nilisikia idadi ya majeshi wapanda farasi ilikuwa milioni mia mbili.
Cross References
Revelation 8:9theluthi moja ya viumbe vya baharini vikafa na theluthi moja ya meli zikaharibiwa.
Revelation 9:5Nzige hao hawakuruhusiwa kuwaua watu, ila kuwatesa tu kwa muda wa miezi mitano. Maumivu watakayosababisha ni kama maumivu yanayompata mtu wakati anapoumwa na ng'e.
Revelation 9:18Theluthi moja ya wanaadamu waliuawa kwa mabaa hayo matatu yaani, moto, moshi na kiberiti, yaliyokuwa yanatoka katika vinywa vyao;