bible.software › Ufunuo › Ufunuo 9 › Ufunuo 9:16
Ufunuo 9:16
Nilisikia idadi ya majeshi wapanda farasi ilikuwa milioni mia mbili.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And the number of the army of the horsemen were two hundred thousand thousand: and I heard the number of them.
In Context
15Naye akawafungulia malaika hao wanne ambao walikuwa wametayarishwa kwa ajili ya saa hiyo ya siku ya mwezi huo, wa mwaka huohuo, kuua theluthi moja ya wanaadamu.
17Hivi ndivyo nilivyowaona hao farasi na wapanda farasi katika hiyo njozi: Walikuwa na ngao vifuani zilizokuwa moto mtupu, zenye rangi ya samawati na njano kama kiberiti. Vichwa vya hao farasi vilikuwa kama vya simba; na moto, moshi, na kiberiti vilikuwa vinatoka kinywani mwao.
Read all of Ufunuo 9
Cross References
Revelation 5:11Kisha nikatazama, nikasikia sauti ya malaika wengi sana, idadi isiyohesabika, maelfu na maelfu. Walikuwa wamekaa kuzunguka kiti cha enzi, vile viumbe hai vinne na wale wazee;
This Verse In Other Editions
Study Ufunuo 9:16